LIVE STREAM ADS

Header Ads

Balaa! Shoo kali ya Rayvanny jijini Mbeya

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkali kutoka WCB Wasafi, Rayvanny Disemba 25, 2019 amepiga shoo kali kattika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya huku akisindikizwa na mastaa kibao kutoka ndani na nje ya WCB.

Msimu huu wa Ksrismas karibu katika duka la Pure Gold Mwanza ujipatie bidhaa mbalimbali za vito ikiwemo pete za dhahabu halisi. Duka lipo Rock City Mall ghorofa ya kwanza ama piga simu 0752 48 06 05.

No comments:

Powered by Blogger.