LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kikundi cha Mbeya Yetu chazinduliwa jijini Mwanza "malengo ni kufungua Chuo"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Mkuu wa Wilaya Nyamagana, Dkt. Philis Nyimbi amezindua rasmi kikundi cha kusaidiana cha Mbeya Yetu kilichoasisiwa Machi 01, 2018 na wanachama wenye asili ya mikoa ya Mbeya na Songwe wanaoishi jijini Mwanza.

Uzinduzi huo ulifanyika jumamosi Novemba 30, 2019 katika fukwe za Tamali jijini Mwanza ambapo awali mgeni rasmi alipaswa kuwa Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson aliyeshindwa kufika kutokana na mwingiliano wa majukumu.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.