Halmashauri Kuu ya CCM yakagua miradi ya maendeleo mkoani Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wajumbe wa
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Mwanza Januari 28, 2020 wamefanya
ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa
na Serikali.
Miradi hiyo
ni ujenzi wa vivuko vipya vya MV. Ilemela, MV. Chato na MV. Ukara. Pia ujenzi wa jengo la mizigo uwanja wa
ndege wa Mwanza, jengo la abiria uwanja wa ndege wa Mwanza, jengo la kuongozea
ndege, chelezo, meli mpya ndani ya Ziwa Victoria, ukarabati wa MV.
Victoria, MV. Butiama, daraja la Kigongo-Busisi pamoja na mradi wa maji Magu.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza wakikagua sehemu ya jengo la mizigo katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: