LIVE STREAM ADS

Header Ads

Halmashauri Kuu ya CCM mkoani Mwanza yatoa kongole kwa Serikali

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Mwanza Januari 28, 2020 imefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali na kutoa kongole kwa watendaji kwa kusimamia vyema miradi hiyo.

Miradi hiyo ni ujenzi wa vivuko vipya vya MV. Ilemela, MV. Chato na MV. Ukara. Pia ujenzi wa jengo la mizigo uwanja wa ndege wa Mwanza, jengo la abiria uwanja wa ndege wa Mwanza, jengo la kuongozea ndege, chelezo, meli mpya ndani ya Ziwa Victoria, ukarabati wa MV. Victoria, MV. Butiama, daraja la Kigongo-Busisi pamoja na mradi wa maji Magu.
Ziara hiyo ni sehemu ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2015/20.
Picha na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kukagua ujenzi wa Kivuko cha MV. Ilemela.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza  wakiangalia baadhi ya mitambo ya ukaguzi iliyosimikwa kwenye jengo la mizigo katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mwanza, Dkt. Antony Diallo (kulia) pamoja na Wajumbe wengine wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza wakiwa katika eneo la ujenzi wa jengo la abiria katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Mwonekano wa ukarabati wa meli ya MV. Victoria.
Mwonekano wa daraja la Kigongo-Busisi litakapokamika.
Kivuko cha MV. Mwanza kinachotoa huduma kwa sasa katika eneo la Kigongo-Busisi.
Sehemu ya chujio kwenye mradi wa maji wilaji Magu uliopo katika Kijiji cha Busulwa.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza wakikagua mradi wa maji Magu.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza walipotembela mradi wa maji Magu.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza walipotembelea mradi wa maji Magu.
Mkuu wa Wilaya Ilemela, Dkt. Severine Lalika (kulia) aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella kwenye ziara hiyo ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza  kutembela miradi ya maendeleo. Katikati ni Katibu Tawala Msaidizi, Mhandisi Warioba Sanya.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza.
Viongongozi mbalimbali wa Serikali na CCM walipotembelea mradi wa maji Magu.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza wakipata maelezo kuhusiana na mradi wa maji Magu.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza walipotembelea mradi wa maji Magu.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza walipotembelea mradi wa maji Magu.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza.
Mwonekano wa sehemu ya radi wa maji Magu.
Sehemu ya mitambo ya kusukuma maji katika mradi wa maji Magu uliopo Kijiji cha Busulwa.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.