LIVE STREAM ADS

Header Ads

Magufuli "usiende kutukana maaskari, Siro alikuwa analalamika kila siku:

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewaapisha viongozi wafuatao aliowateua hivi karibuni; 

Mhe. George Boniphace Mwataguluvala Simbachawene (Mb) kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Muusa Azzan Zungu (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Ndugu Maimuna Kibenga Tarishi kuwa Balozi wa Tanzania, Umoja wa Mataifa Geneva, Ndugu Hussein Athuman Kattanga kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan, Prof. Kennedy Godfrey Gastorn kuwa Balozi wa Tanzania, Umoja wa Mataifa New York. 
Hafla ya kuwaapisha viongozi hao imefanyika Ikulu jijini Dar es salaam Januari 27, 2020.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.