INASIKITISHA- Mme na Mke wanaishi na upofu “chanzo ni sumu"
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Bwana Mathias Machela Kilangi (47) mzaliwa wa
Kijiji cha Ilungu Wilaya Magu mkoani Mwanza anaishi na ulemavu wa macho tangu
mwaka 2002 ambapo anadai hali hiyo ilitokana na kula kitu kinachodhaniwa ni
sumu.
Amejaaliwa
watoto watatu na mkewe aitwaye Veronica Yohana ambaye pia ni mlemavu wa macho
anaosema ulisababishwa na matumizi ya dawa. Simulizi ya wawili hao
inasikitisha, ungana na BMG TV kujua undani wake.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari kuhusiana na macho
No comments: