LIVE STREAM ADS

Header Ads

Rais Mstaafu wa Kenya "MOI" afariki dunia

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Rais Mstaafu wa awamu ya pili ya Serikali ya Jamhuri ya watu wa Kenya, Mzee Daniel Arap Moi aliyeliongoza Taifa hilo kwa miaka 24 kuanzia mwaka 1978 hadi 2002 amefariki dunia Februari 04, 2020 akiwa na umri wa miaka 96 ambapo alizaliwa Septemba 02, 1924.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.