Yanga yaibuka na ushindi dhidi ya Lipuli
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Timu ya Yanga imeibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Lipuli FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa Februari 05, 2020.
SOMA>>> Habari kuhusiana na Yanga
No comments: