LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mongella awataka NIDA kupiga kambi visiwani

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Ziara ya Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella katika Visiwa vidogo 38 vya Wilaya Ukerewe ambayo pia ni Kisiwa kikubwa katika Ziwa Victoria.

Katika ziara hiyo wananchi wamelalamika kukosa nambari za vitambulisho vya Taifa baada ya kujiandikisha ambapo Mongella aliagiza maafisa wa NIDA mkoani Mwanza kupiga kambi visiwani ili kutoa huduma hiyo.
#BMGHabari
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.