LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkuu wa Mkoa Mwanza akemea wizi wa dawa "wananchi wanalalamika"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amekemea mfumo mbovu wa usimamizi wa dawa katika Wilaya Ukerewe na kumwagiza Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo kuweka usimamizi mzuri ili kuondoa malalamiko ya ukosefu wa dawa kutoka kwa wananchi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.