LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wavuvi haramu watangaziwa noma Ukerewe “wamo wahamiaji”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella afanya ziara katika Visiwa vidogo 38 vya Wilaya Ukerewe ambayo pia ni Kisiwa kikubwa katika Ziwa Victoria.
#BMGHabari
  Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amewataka wananchi wilayani Ukerewe kutoa taarifa wanapoona watu wanaojihusisha na uvuvi haramu pamoja na wahamiaji haramu kutoka nchi jirani wanaofanya shughuli za uvuvi katika Wilaya hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.