LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mongella atinga Kisiwa cha Bezi “wananchi wasema haijawahi kutokea”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella ameendelea na ziara yake ya kutembelea visiwa mbalimbali katika Ziwa Victoria ili kuhamasisha shughuli za maendeleo, kusikiliza na kuzitolea ufafanuzi changamoto za wananchi.

Akiwa njiani Februari 14, 2020 akitokea wilayani Ukerewe kwa usafiri wa boti, Mongella alifika katika Kisiwa cha Bezi kilichopo Kata ya Kayenze, Manispaa ya Ilemela na kuzungumza na wakazi wa Kisiwa hicho.
#BMGHabari
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akikagua gazi la Kivuko cha MV. Ilemela linaloendelea kujengwa katika Kisiwa cha Bezi.
 Mwonekano wa Shule ya Msingi Bezi iliyopo katika Kisiwa cha Bezi Kata ya Kayenje Manispaa ya Ilemela.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.