LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mwanza ampiga ‘STOP’ DED Ukerewe

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amemuonya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Ukerewe, Esther Chaula kuruhusu fedha za mapato kutumika nje ya mfumo bila kufuata utaratibu.
Mongella alitoa onyo hilo Februari 13, 2020 wakati akizungumza kwenye kikao cha kuhitimisha ziara yake wilayani Ukerewe.
#BMGHabari
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akizungumza kwenye kikao cha kuhitimisha ziara yake wilayani Ukerewe aliyoianza Februari 10-14, 2020.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.