LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wanafunzi wilayani Ukerewe kuondokana na adha ya kusomea nje

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (mwenye kofia) amekagua ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa katika Shule ya Msingi Busumba iliyopo katika Kisiwa cha Bwiro wilayani Ukerewe na kuagiza ujenzi huo kukamilika haraka ili wanafunzi wasisomee nje.
#BMGHabari
 Mwonekano wa vyumba vinne vya madarasa vinavyoendelea kujengwa katika Shule ya Msingi Busumba wilayani Ukerewe.
Wakati huo huo Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella Februari 13, 2020 alizindua vyumba vya madarasa katika Shule ya Msingi Bugombe Kata ya Murutunguru.
Mwonekano wa moja ya vyumba vya madarasa mapya katika Shule ya Msingi Bugombe.
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bugombe wakimsiliza Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.