LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkurugenzi KIVULINI atia neno hoja ya Viti Maalum kufutwa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la kutetea haki za wasichana na wanawake KIVULINI, Yassin Ally ametoa maoni yake kuhusiana na wanawake mkoani Mwanza kutaka Serikali ifute nafasi za Viti Maalum ili nao washindanie nafasi za uongozi kama ilivyo kwa wanaume. 

Hoja hiyo ilitolewa Machi 08, 2020 kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kwa ngazi ya Mkoa Mwanza wilayani Misungwi.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Maandamano ya amani ikiwa ni sehemu ya maadhimisho hayo.
 Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2020.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.