LIVE STREAM ADS

Header Ads

Diwani Mwanza “wanaume wasitushambulie tunapogombea”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Diwani Viti Maalum katika Wilaya Misungwi mkoani Mwanza, Christina Nyanda ametoa rai kwa wanaume kuondokana na mila potofu ya kuwashambulia wanawake wanaojitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Maandamano ya wanawake wilayani Misungwi ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2020.
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye maadhimisho hayo.
 Wadau wakiwa kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2020 yaliyofanyika wilayani Misungwi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.