LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wanawake waiomba Serikali kufuta nafasi za Viti Maalum

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Wanawake, viongozi na wanaharakati wa kupinga Ukatili wa Kijinsia mkoani Mwanza wakiwa kwenye maandamano ya amani ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kwa Mkoa Mwanza wilayani Misungwi.

Wanawake walitumia maadhimisho hayo kuiomba Serikali kufuta nafasi za Viti Maalum ili nao wachuane kuwania nafasi za uongozi kama ilivyo kwa wanaume kwani wanazo sifa za kufanya hivyo.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Katibu Tawala Wilaya Misungwi, Petro Sabatto akizungumza kwenye maadhimisho hayo kwa Niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo aliyekuwa mgeni rasmi.
 Katibu Tawala Wilaya Misungwi, Petro Sabatto akizungumza kwenye maadhimisho hayo.
 Afisa Elimu Sekondari Wilaya Misungwi, Mwl. Diana Kuboja akitoa salamu za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Misungwi.
 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Misungwi, Antony Bahebe akitoa salamu zake kwenye maadhimisho hayo.
 Mkurugenzi Mtendaji shirika la kutetea haki za wasichana na wanawake KIVULINI, Yassin Ally akitoa salamu zake kwenye maadhimisho hayo.
 Mmoja wa Waasisi wa shirika la KIVULINI, Yusta Ntibashima akizungumzia mchango wa wanawake katika kuchochea maendeleo.
 Mwenyekiti wa Wanawake Waasisi wa shirika la KIVULINI akitoa salamu zake kwenye maadhimisho hayo.
 Teresia Mnaku akisoma Risala ya wanawake wilayani Misungwi.
Teresia Mnaku akisoma Risala ya wanawake kwenye maadhimisho hayo.
 Mgeni rasmi akipokea risala ya wanawake kwenye maadhimisho hayo.
 Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye maadhimisho hayo.
 Viongozi na wanaharakati mbalimbali wakiwa kwenye maadhimisho hayo.
Wadau mbalimbali waliohudhuria maadhimisho hayo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.