LIVE STREAM ADS

Header Ads

Rais Magufuli apokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU/ watumishi hewa bado

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anakabidhiwa ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2018/2019 inayowasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Seriakali (CAG) Charles Kichere. 

Pia Dkt. Magufuli anapokea ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ya mwaka 2018/2019 inakayowasilishwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Brigedia Jenerali John Mbungo. 
Hafla hiyo inafanyika Machi 26, 2020 katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Chamwino jijini Dodoma.

No comments:

Powered by Blogger.