LIVE STREAM ADS

Header Ads

Makinikia yaanza kutolewa nje ya mgodi wa Mwadui mkoani Shinyanga

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Zoezi la utoaji mchanga wa mabaki ya almasi (makinikia) katika mgodi wa Mwadui uliopo Kishapu mkoani Shinyanga kwa ajili ya kuchenjuliwa upya na wachimbaji wadogo lilianza rasmi Machi 19, 2020 baada ya maandalizi ya eneo la kufanyia shughuli hiyo kukamilika.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Waziri wa Madini, Doto Biteko alifika katika eneo la Maganzo wilayani Kishapu kukagua maandalizi ya zoezi hilo na kuridhishwa na maandalizi yaliyofanyika.
 Mwonekano wa moja ya kizimba cha kuchenjulia mabaki ya mchanga wa almasi.
 Tahadhari za mlipuko wa ugonjwa wa korona inapewa kipaumbele katika eneo hilo.
 Elimu inaendelea kutolewa kuhusu namna bora ya kutakasa mikono ili kujikinga na maambukizi ya Corona.
 Sehemu ya miundombinu katika eneo hilo.
 Vyoo pia vimekamilika.
 Waziri wa Madini, Doto Biteko akiwa ameambatana na viongozi mbalimbali alipotembelea eneo hilo.
 Ofisi mbalimbali.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.