LIVE STREAM ADS

Header Ads

Maadhimisho ya Siku ya Mwanafunzi wa Kike Thaqaafa Sekondari

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Shule ya Sekondari Thaqaafa iliyopo jijini Mwanza Machi 14, 2020 imeadhimisha Siku ya Mwanafunzi wa Kike ambapo mgeni rasmi alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Dkt. Angeline Mabula aliyewakilishwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa Mwanza, Mama Hellen Bogohe.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Thaqaafa wakionesha shughuli mbalimbali ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mwanafunzi wa Kike shuleni hapo.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa UWT Mkoa Mwanza Hellen Bogohe akionja chapati zilizotengenezwa na wanafunzi wa kike Shule ya Sekondari Thaqaafa.
 Mwenyekiti wa UWT Mkoa Mwanza Hellen Bogohe pia alitembelea maktaba Thaqaafa Sekondari.
 Viongozi mbalimbali meza kuu akiwemo Mwenyekiti wa UWT Mkoa Mwanza Hellen Bogohe (wa tatu).
 Wanafunzi wa Thaqaafa Sekondari wakitumbuiza kwenye maadhimisho hayo.
 Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Thaqaafa (kushoto) akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa UWT Mkoa Mwanza Hellen Bogohe (kulia)
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.