Mikusanyiko marufuku Sikukuu ya Pasaka- RC Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa
Mwanza, John Mongella ametoa salamu za sikukuu ya Pasaka huku akitumia fursa
hiyo kuwasihi wananchi kujiepusha na mikusanyiko isiyo ya lazima katika kipindi
hiki cha mapambano dhidi ya Corona.
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: