LIVE STREAM ADS

Header Ads

Agizo la JPM latekelezwa Mwanza “Halmashauri zikajifunze”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Halmashauri mbalimbali nchini Tanzania zimehimizwa kufika mkoani Mwanza ili kujifunza namna ya kutekeleza kwa vitendo agizo la Rais Dkt. John Pombe Magufuli la kuboresha miundombinu ya wafanyabiashara wadogo.

Kauli hiyo imetolewa Aprili 09, 2020 na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la KIVULINI, Yassin Ally kufuatia shirika hilo kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo kusaidia upatikanaji wa fedha kwa ajili ya uboreshaji wa masoko ya wafanyabiashara wadogo katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela pamoja na Jiji la Mwanza.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.