LIVE STREAM ADS

Header Ads

ZUNGU “wachimbaji wadogo magoli hayatimii nyumbani”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu akitoa nasaha zake Mei 20, 2020 kwenye ufunguzi wa zoezi la kukabidhi cheki za malipo ya fidia ya ardhi kwa wakazi 1,639 wa Nyamongo ili kupisha shughuli za mgoni. 
#BMGHabari
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu (kushoto) akiwa pamoja na Waziri wa Madini, Doto Biteko (kulia) walipotembelea eneo la kuhifadhi maji sumu (TFS) katika mgodi wa Barrick North Mara na kuridhishwa na hatua za mgodi huo za kuhakikisha maji hayo hayawafikii wananchi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.