LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waimbaji TOT wajinoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkurugenzi wa Tanzania One Theatre (TOT), Khadija Kopa (kulia) akiimba pamoja na wanamuziki wengine wa bendi hiyo wakati wa mazoezi jijini Dar es Salaam ikiwa ni maandalaizi ya kutumbuiza kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba mwaka huu 2020.
Mwalimu na mwimbaji mpya wa Tanzania One Theatre (TOT) kutoka Sumbawanga, Peter Kakondele akiimba wimbo wake mpya na bendi hiyo.
Mrithi wa Captain John Komba aitwaye Twalibu Neka akiimba pamoja na wanamuziki wengine wa bendi ya TOT wakati wa mazoezi hayo.
Waimbaji wa Tanzania One Theatre (TOT), Frank Kabatano (kulia) na Adam Chinja (kushoto) wakijinoa kwenye mazoezi hayo.
Picha na Michael Machellah, Dar
SOMA>>> Habari za Siasa

No comments:

Powered by Blogger.