Ujenzi wa Ofisi ya kisasa Magu ‘DED ampa tano JPM’
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Wilaya Magu mkoani Mwanza, Lutengano Mwalwiba ameikubali kasi
ya uchapaji kazi wa kampuni ya Suma JKT na hivyo kumpongeza pia Rais Dkt. John
Pombe Magufuli kwa namna alivyotambua uwezo wa kampuni hiyo na kuelekeza
itekeleze miradi mbalimbali nchini.
Kauli hiyo
ya Mwalwiba imekuja baada ya kampuni ya Suma JKT inayomilikiwa na Jeshi la
Wanachi Tanzania (JWTZ) kupewa tenda ya kumalizia ujenzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Magu lililokuwa limefikia hatua ya upauaji baada ya mkataba na mkandarasi
wa awali kuvunjwa.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mwonekano wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya Magu mkoani Mwanza ambalo liko katika hatua ya upauaji.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari kutoka Magu
No comments: