LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wizara tatu zakutana "kuondoa vikwazo Mwanza Airport"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Viongozi kutoka Wizara tatu ambazo ni Mifugo na Uvuvi, Viwanda na Bishara pamoja na Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wamekutana na kuweka mikakati ya pamoja ili kuondoa baadhi ya changamoto zilizojitokeza kwenye usafirishaji wa minofu ya samaki kwenda nje ya nchi kutokea uwanja wa ndege wa Mwanza.

Mkutano huo ulifanyika Juni Mosi 2020 jijini Mwanza ukiwajumuisha Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Wizara tajwa hapo juu pamoja na Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.