Waziri Biteko azungumza na wafanyabiashara wa Madini
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa
Madini, Doto Biteko (kulia) akizungumza na wachimbaji na wafanyabiashara wa madini mkoani Geita Juni
04, 2020 baada ya kuhitimisha ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo
inayotekelezwa katika Halmashauri ya Mji wa Geita kupitia mpango wa fedha za
uwajibikaji kwa jamii (Community Social Responsibility- CSR) kutoka mgodi wa
GGM.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
No comments: