LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mongella awapa matumaini wakazi wa Ilemela

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella Julai 18, 2020 amekagua ujenzi wa hospitali mpya ya Wilaya Ilemela na kuwapa matumaini wananchi kwamba hadi kufikia Disemba 2020 hospitali hoyo itaanza kutoa huduma za afya za uhakika.

Aidha akiwa kwenye ziara hiyo, RC Mongella pia amemwelekeza Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela kukutana na wataalam wake ili kushughulikia baadhi ya mapungufu yaliyobainika kwenye ujenzi huo ili kuendana na thamani halisi ya fedha.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (mwenye kofia) akiwa ameambatana na watendaji mbalimbali kukagua majengo ya hospitali ya Wilaya Ilemela inayojengwa katika eneo la Isanzu.
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akikagua ujenzi wa njia za watembea kwa miguu (walk ways) katika hospitali ya Wilaya Ilemela inayojengwa katika eneo la Isanzu.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.