Benki ya CRDB yawakosha wakazi wa Meatu mkoani Simiyu
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Wakizungumza Septemba 11, 2020 kwenye mkutano wa waalimu wilayani Meatu kwa ajili ya kutambulisha huduma zinazotolewa na benki ya CRDB, baadhi ya washiriki walisema ujio wa benki hiyo utawondolea adha ya kusafiri umbali mrefu hadi wilaya jirani kufuata huduma mbalimbali za kibenki ikiwemo mikopo.
#BMGHabari
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
SOMA>>> Habari kuhusiana na CRDB
No comments: