LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kampeni za CCM Nyamagana zaanza kwa kishindo

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Umati wa wananchi wakiwemo makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliojitokeza kumsikiliza mgombea ubunge jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula kwenye mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Buhongwa, Jumamosi Septemba 12, 2020.

Mabula ameanza rasmi kusaka ridhaa ya wananchi ili wamchague kwa awamu ya pili kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, 2020. Amewaomba wananchi kumchagua ili akasimamie ukamilishaji wa miradi mbalimbali ikiwemo elimu, afya, maji, umeme na barabara iliyoanzishwa katika awamu yake ya kwanza ya uongozi.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mgombea ubunge kupitia CCM Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula akiomba kura kupitia Mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika Kata ya Buhongwa. 
Mgombea ubunge Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula amewaomba wananchi kuwapigia kura wagombea wa CCM kuanzia Rais, wabunge na madiwani ili wakakamilishe utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya Tano.
Mgombea udiwani Kata ya Buhongwa akiwaomba kura wananchi pamoja na kuwaombea kura wagombea wengine wa CCM.
Mgombea udiwani Kata ya Mbugani akimuombea kura mgombea urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mgombea ubunge Nyamagana, Stanslaus Mabula.
Mgombea udiwani Kata ya Mandu akiomba kura kwa wagombea wa CCM.
Mgombe udiwani Kata ya Lwanima akiomba kura.
Mgombea udiwani Kata ya Mahina akiomba kura.
Mgombea udiwani Kata ya Mkuyuni akiomba kura.
Mgombea udiwani Kata ya Igoma akiomba kura.
Mgombea udiwani Kata ya Isamilo akiomba kura.
Mgombea udiwani Kata ya Igogo akiomba kura.
Mgombea udiwani Kata ya Mirongo akiomba kura.
Mgombea udiwani Kata ya Nyegezi akiomba kura.
Mgombea udiwani Kata ya Butimba akiomba kura kwa CCM.
Mgombea udiwani Kata ya Kishili akiomba kura kwa CCM.
Mgombea udiwani Kata ya Luchelele akiomba kura kwa wagombea wa CCM.
Mgombea udiwani Kata ya Mabatini akiomba kura.
Mgombea udiwani Kata ya Mkolani akiomba kura.
Mgombea udiwani Kata ya Nyamagana akiomba kura kwa wagombea wa CCM.
Mgombea udiwani Kata ya Pamba akiomba kura.
Diwani Mteule wa Viti Maalum jijini Mwanza akiwaombea kura wagombea wa CCM.

Mbunge Mteule wa Viti Maalum akiwaombea kura wagombea wa CCM.
Mbunge Mteule wa Viti Maalum akiwaombea kura wagombea wa CCM.
Mbunge Mteule wa Viti Maalum akiwaombea kura wagombea wa CCM.
Mbunge Mteule wa Viti Maalum akiwaombea kura wagombea wa CCM.
Wananchi wakiwemo wafuasi wa CCM wakifuatilia Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 katika Jimbo la Nyamagana uliofanyika Kata ya Buhongwa.

No comments:

Powered by Blogger.