Bonanza la funga kazi “wapiga vinywaji VIGUMU na VILAINI”
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waandishi wa Habari Mkoa Mwanza wanaotumia vinywaji laini na wale wanaotumia vinywaji vigumu wamepiga bonanza la kukata na mundu likihusisha michezo mbalimbali ikiwemo kuvuta kamba, kukimbiza kuku pamoja na mpira wa miguu.
Bonanza hilo lilifanyika jumamosi Septemba 19, 2020 katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza likitawaliwa na mvuto wa aina yake.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
SOMA>>> Mabonanza mbalimbali
No comments: