LIVE STREAM ADS

Header Ads

Benki ya CRDB Mwanza yaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wateja wa Benki ya CRDB wameendelea kuurahia huduma katika matawi mbalimbali ya benki hiyo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja ambayo huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba.
Wateja wa benki ya CRDB tawi la Mwanza wakipata huduma.
Meneja wa benki ya CRDB tawi la Mwanza, Jeremiah Msemo.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.