LIVE STREAM ADS

Header Ads

Karibu CRDB “Wiki ya Huduma kwa Wateja” 2020

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Benki ya CRDB imeungana na taasisi mbalimbali duniani kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja inayoadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba na kuwaahidi wateja wake upatikanaji wa huduma bora.
Meneja wa CRDB Kanda ya Ziwa, Lusingi Sitta akizungumzia Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.