LIPUMBA- miaka mitano vyuma vimekaza, mkiwapa mingine vitatumaliza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mgombea urais
kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipuma amewasihi wananchi
mkoani Mwanza kumpigia kura Oktoba 28, 2020 kwenye Uchaguzi Mkuu ili apate
ridhaa ya kuwa Rais na kuondoa malalamiko ya ugumu wa maisha “vyuma kukaza”.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
SOMA>>> Habari kuhusiana na LIPUMBA
No comments: