LIVE STREAM ADS

Header Ads

NYAMAGANA “hatuna kituo hewa” Uchaguzi utakuwa Huru

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Afisa Uchaguzi Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, James Ling'wa amesema hakuna kituo hewa katika jimbo hilo kama taarifa za upotoshaji zilivyotolewa hapo awali na mgombea wa CHADEMA na kwamba Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2020 utakuwa Huru na Haki.

Ling'wa ameyasema hayo Oktoba 24, 2020 kwenye mafunzo kwa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania unaotarajiwa kufanyika jumatano Oktoba 28, 2020.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.