VIDEO MPYA: JOHLAU-UMARIOO
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkali za muziki wa kizazi kipya JohLau kutoka Jiji la miamba Mwanza ameachia kideo kipya kiitwacho Umarioo. Karibu kukitazama hapa chini.
SOMA>>> Habari zaidi kuhusiana na JohLau
No comments: