HUDUMA ZA KISHERIA ZINA GHARAMA LAKINI WIKI HII NI BURE
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wananchi mkoani Mwanza wamehimizwa kufika katika viwanja vya Gandhi (Gandhi Hall) wilayani Nyamagana kuanzia Alhamisi Novemba 12 hadi Jumanne Novemba 17, 2020 ili kupata msaada wa kisheria bure.
#BMGHabari
"Msaada wa kisheria una gharama kubwa lakini wiki hii wananchi watapata huduma hiyo bure" watoa huduma za kisheria jijini Mwanza.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
No comments: