LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mongella afungua Maadhimisho ya Wiki ya Sheria

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amefungua Maadhimisho ya Wiki ya Msaada wa Kisheria nchini yanayolenga kutoa bure elimu na msaada wa kisheria kwa wananchi. Kwa Mkoa Mwanza, maadhimisho hayo yaliyoanza Novemba 12-17, 2020 yanafanyika katika viunga vya ukumbi wa Gandhi (Gandhi Hall) wilayani Nyamagana.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akizungumza wakati wa ufunguzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Msaada wa Kisheria Tanzania. Kushoto ni Mwenyekiti wa TLS Mkoa Mwanza, Lenin Njau.
Wanahabari wakinasa matukio wakati wa ufunguzi wa maadhimisho hayo.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akizungumza kwenye maadhimisho hayo.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa tano) akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau mbalimbali.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa tano) akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau mbalimbali.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.