LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shirika la KIVULINI lashiriki Maadhimisho ya Wiki ya Sheria

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Shirika la kutetea haki za wasichana na wanawake (KIVULINI) linashiriki maadhimisho ya Wiki ya Msaada wa Kisheria Tanzania ambapo kupitia maadhimisho hayo wananchi watapata huduma za kisheria bure kuhusiana na utatuzi wa migogoro mbalimbali ikiwemo ya ndoa, ardhi na urithi. 

Kwa Mkoa Mwanza, maadhimisho hayo yaliyoanza Novemba 12-19, 2020 yanafanyika katika viunga vya ukumbi wa Gandhi (Gandhi Hall) wilayani Nyamagana. 
#BMGHabari
Wananchi wakipata huduma ya kisheria katika banda la shirika la KIVULINI kwenye maadhimisho ya Wiki ya Msaada wa Kisheria 2020 yanayofanyika viunga vya Gandhi jijini Mwanza.
Kikuki cha ngoma za asili kilichojengewa uwezo na shirika la KIVULINI kikitumbuiza kwenye maadhimisho hayo.
Kikundi cha ngoma za asili kikitumbuiza kwenye maadhimisho ambapo kinafikisha ujumbe kwa jamii kupitia burudani.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.