LIVE STREAM ADS

Header Ads

UCHAGUZI UTPC, WAANDISHI WA HABARI WATOA TAMKO ZITO

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Ikiwa imebaki siku moja ufanyike uchaguzi wa kumpata Rais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) hapo kesho Jumanne Novemba 17, 2020 mkoani Morogoro, waandishi wa habari mkoani Mwanza wametoa tamko wakiwaasa wajumbe wa uchaguzi huo kufanya maamuzi sahihi.
#BMGHabari
Baadhi ya waandishi wa habari mkoani Mwanza wakitoa tamko kuelekea Uchaguzi wa Rais UTPC.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.