LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAGUFULI- Hili daraja ni baba lao, hatuwezi kusubiri hadi 2024

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Disemba 28, 2020 akiwa njiani kutokea Ikulu jijini Dodoma kuelekea nyumbani Chato mkoani Geita, amepita kujionea ujenzi wa daraja la JPM katika eneo la Kigongo-Busisi mkoani Mwanza na kutaka kazi kufanyika usiku na mchana ili kukamilisha ujenzi wa daraja hilo refu Afrika Mashariki na Kati.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.