LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAJALIWA: Nikija hapa nikute hatua nyingine, ujenzi meli mpya

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Ijumaa Disemba 18, 2020 alikagua ujenzi miradi wa kimkakati mkoani Mwanza ambayo ni daraja JPM pamoja na meli mpya ya MV. Mwanza “Hapa Kazi Tu”. 

Ujenzi wa daraja la JPM linalounganisha eneo la Kigogo (Misungwi) na Busisi (Sengerema) katika Ziwa Victoria unagharimu fedha za Serikali shilingi bilioni 699 huku meli mpya ya MV. Mwanza “Hapa Kazi Tu” nayo ikigharimu pia fedha za Serikali kiasi cha shilingi Bilioni 89.764.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.