LIVE STREAM ADS

Header Ads

Loh!! Alichozungumza Biteko mbele ya aliyepambana na pacha wake

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Madini, Doto Biteko amewatembelea wachimbaji wadogo wa Nyarugusu wilayani Geita ambako pia linapatikana jimbo la Busanda ambalo pacha wake Kulwa Biteko alishinda kura za maoni ndani ya CCM ingawa jina lake halikurudi na badala yake likarudi jina la Tumaini Magesa ambaye alichaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo kwenye Uchaguzi Mkuu 2020.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.