LIVE STREAM ADS

Header Ads

UPDATES: Ujenzi wa Stendi ya Kisasa Nyegezi jijini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Kamati ya Ushauri (DCC) Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza Januari 21, 2021 imetembelea ujenzi wa stendi ya kisasa ya Nyegezi na kuridhishwa na mradi huo na kuhimiza ukamilike kwa wakati ifikapo Aprili 2022.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.