LIVE STREAM ADS

Header Ads

Majaliwa akagua ujenzi wa stendi ya mabasi Nyamhongolo wilayani Ilemela

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekagua mradi wa ujenzi wa stendi ya kisasa ya mabasi pamoja na maegesho ya malori Nyamhongolo katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza ambao hadi kukamilika mwezi Mei 2021 unatarajiwa kugharimu fedha za Serikali shilingi bilioni 28.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa (kulia) akizungumza baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa stendi ya mabasi na maegesho ya malori Nyamhongolo wilayani Ilemela. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.