LIVE STREAM ADS

Header Ads

Simulizi ya dada Mwamvua, kulala stendi hadi kujenga nyumba

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Simulizi ya mjasiriamali Mwamvua Ramadhani anayefanya shughuli zake katika stendi ya mabasi Nyabulogoya jijini Mwanza imejaa milima na mabonde. 

Maisha yake yalianzia mtaani kabla ya kukutana na wadau waliomjengea uwezo, akajitambua, akaanza uchakarikaji na kutoka mtaani. 

Shughuli zake zimemwezesha kununua kiwanda na kuanza ujenzi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.