LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wabunge wachachamaa yanayoendelea Tanzania, hali tete

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Kutoka bungeni jijini Dodoma wabunge wameendelea kutoa michango yao kuhusiana na muswada wa maendeleo ambapo wengi wanataka hatua za haraka kuchukuliwa ili kunusuru mazingira magumu ya kibiashara yalipo nchini.

No comments:

Powered by Blogger.