LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mradi mwingine wa mabilioni unaotekelezwa na JPM jijini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Serikali ya Tanzania chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli inatekeleza mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa Zictoria ili kuondoa changamoto ya maji jijini Mwanza. 

Mitambo ya kusafisha maji ya mradi huo inajengwa katika eneo la Butimba na tayari tenki la lita milioni mbili limejengwa katika eneo la Sahwa huku lingine la milioni tano likitarajiwa kujengwa eneo la Buhongwa. 
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya Nyamagana chini ya Mwenyekiti wake Zebedayo Athuman imetembelea tenki la mradi huo lililopo eneo la Sahwa na kuagiza mradi ukamilike mapema ili kutoa huduma kwa wananchi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.