LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mwanza atoa utaratibu wa kuuaga mwili wa Hayati Dkt. Magufuli

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi mapema Jumatano Machi 24, 2021 katika uwanja wa CCM Kirumba ili kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.