LIVE STREAM ADS

Header Ads

Hayati Dkt. Magufuli aliifanya Tanzania kuwa ya kwanza Afrika

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Hayati Dkt. John Pombe Magufuli enzi za uhai wake akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipambana kuhakikisha nishati ya umeme inasambazwa kote nchini, mijini na vijijini.

Hatua hiyo iliifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kwa kusambaza huduma hiyo kwa wananchi hususani vijijini kupitia mpango wake wa REA na hivyo kuzipiku nchi mbalimbali ikiwemo Afrika Kusini.

Hayo yalibainishwa Machi 17, 2021 wakati wa ziara ya Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati na Madini iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme pamoja na kuwasha nishati hiyo katika Kata ya Tabaruka Wilaya Sengerema mkoani Mwanza.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Khamis Gulamali (wa tatu kushoto) akikata utepe kuashiria zoezi la uwashaji nishati ya umeme katika Shule ya Sekondari Tabaruka wilayani Sengerema. Wengine ni viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani (wa tatu kulia).
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akizungumza kwenye ziara hiyo.
Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato akitoa salamu wakati wa ziara hiyo.
Viongozi mbalimbali.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini.
Wakazi wa Sengerema wakifuatilia hafla hiyo.
Wakazi wa Sengerema wakifuatilia ziara hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.